#VERSE
Huyo huyo
Huyo huyo huyo huyo huyo
Nilikuwa na mpenzi mpenzi mpenzi mpenzi mpenziii
Nikasema kumuacha siwezi siwezi siwezi siweziiii
Akanifanyia ushenzi ushenzi ushenzi ushenzi ushenziiii
Nikayachukia mapenzi mapenziii
Leo Kaanza Kuniita Bebe (Ananiita bebe)
Hivi ananiona mi bwege (Ananiona bwege)
Anajilegeza lege
Anataka tena mshedede
#CHORUS
Mxiieeew
Fukuza kunguru, kunguru
Kunguru kunguru
Kunguru, kunguru
Wanini.. Wanini.. Wanini mimi wanini
Ndio basi (Ndio basi tena)
Haunipati (Haunipati tena)
Oooh! ndio Basi (Ndio Basi tena)
Naukoo kome.. Kujitumisha meseji
Naukoo kome.. Kuniita ita baby
Oya kaanza kuniita bebe (Ananiita bebe)
Your Name
Your Comment
Receive our latest articles, songs and videos to your email. We promise we do not spam.
Delivered by Xclusivetunez